Familia zilizohamishwa zinahitaji sehemu salama ya kukaa.
Wakati maafa yanatokea, Airbnb.org hutoa makazi ya dharura bila malipo katika Airbnb kwa familia na wahudumu wa dharura wenye uhitaji.
Toa mchango
Tunaamini makazi ya dharura yanapaswa kuwa katika nyumba, si makao.
Baada ya maafa, ukaaji bila malipo katika nyumba hutoa usalama, heshima na hali ya kawaida, kwa watu wazima, watoto na wanyama vipenzi.
Mafanikio ya kimataifa.
Together with hosts and donors, we’re making an impact.
Milioni 1.6
usiku bila malipo
250,000
watu waliopata makazi
135
nchi zilizofadhiliwa
Michango hufadhili makazi pekee. Hakuna kitu kingine.
Our model is unique. Operating costs are covered by Airbnb, so all public donations are used to fund free, emergency stays.

Jihusishe
Kuna njia mbili kuu za kutoa ili kuisaidia Airbnb.org kutoa makazi ya dharura bila malipo.

Toa mchango
Toa mchango wa mara moja au utoe mchango wa kila mwezi ambao Airbnb.org inaweza kutumia kufadhili makazi ya dharura.

Karibisha wageni kwenye sehemu ya kukaa
Ikiwa wewe ni mwenyeji wa Airbnb, unaweza kuchagua kutoa Airbnb yako kwa bei iliyopunguzwa kwa ajili ya watu walioathiriwa na maafa au majanga mengine.
Kila sehemu ya kukaa ina simulizi
Kutana na watu walioathiriwa na maafa na wale waliotoa msaada.
1 kati ya kurasa 1



