Nyumba Inaendelea Kuwepo

Tazama simulizi za familia tatu waliohamishwa makwao ambao walipata starehe za nyumbani walipozihitaji zaidi.
Ada Sol anaoga
Ada Sol anaoga

Nyumba husaidia familia kushiriki matukio ya maisha, makubwa na madogo, baada ya maafa. Tumetoa makazi ya dharura bila malipo kwa zaidi ya watu 250,000 ulimwenguni kote.

Kutana na familia zilizohamasisha filamu

Kila sehemu ya kukaa ina simulizi

Kutana na watu walioathiriwa na maafa na wale waliosaidia.