Mafuriko Katikati mwa Texas

Tuliwapa makazi wageni 385 Katikati mwa Texas, Marekani.

Mafuriko Katikati mwa Texas

Tuliwapa makazi wageni 385 Katikati mwa Texas, Marekani.

Mwezi Julai 2025, Katikati mwa Texas ilikumbwa na mafuriko makubwa ambayo yalisababisha vifo zaidi ya watu 130 na mamia ya watu kuhama nyumba zao.Tulitoa makazi ya dharura bila malipo kwa watu 385 ikiwemo wazima moto na wahudumu wa dharura, wafanyakazi wa kujitolea na wanafamilia ambao walihitaji kuwa karibu na shughuli za utafutaji na uokoaji.Airbnb.org ilishirikiana na All Hands and Hearts ambao waliwatambua wakazi wanaohitaji makazi ya muda na kusaidia kuwaunganisha na sehemu za kukaa za bila malipo za Airbnb.org. Soma zaidi hapa.

Meet Skylyn

Learn more about the guests who were housed and the volunteers who helped their community.