Mioto ya Vichakani huko Victoria
Airbnb.org inashirikiana na Convoy of Hope ili kutoa makazi ya dharura bila malipo kwa wale walioathiriwa na mioto ya vichakani huko Victoria, Australia.
Jinsi ya kusaidia
Endapo ungependa kusaidia kutoa sehemu za kukaa bila malipo kwa watu walioathiriwa na mioto ya vichakani, unaweza kutoa mchango kwenda Airbnb.org. Asilimia 100 ya michango huenda moja kwa moja kwenye makazi ya dharura. Ikiwa wewe ni mwenyeji wa Airbnb, unaweza kujisajili ili kutoa ukaaji wenye punguzo kwa wakazi walioathiriwa. Airbnb hutoa ada zake za huduma za mwenyeji kwa Airbnb.org kwa ajili ya sehemu hizi za kukaa na huwapa wenyeji AirCover kwa kila nafasi inayowekwa.
Una maswali?
Tafadhali wasiliana nasi kupitia contact@airbnb.org