Mafuriko nchini Sri Lanka

Airbnb.org inashirikiana na International Organization for Migration (IOM) ili kutoa makazi ya dharura bila malipo kwa wahudumu wa dharura wanaosaidia jumuiya zilizoathiriwa na mafuriko na maporomoko ya ardhi nchini Sri Lanka.

Jinsi ya kusaidia

Ikiwa ungependa kusaidia kutoa sehemu za kukaa bila malipo kwa watu walioathiriwa na mafuriko nchini Sri Lanka, unaweza kutoa mchango kwenye Airbnb.org. Asilimia 100 ya michango huenda moja kwa moja kwa makazi ya dharura. Ikiwa wewe ni mwenyeji wa Airbnb, unaweza kujisajili ili kutoa ukaaji wenye punguzo kwa wakazi walioathiriwa. Airbnb hutoa ada zake za huduma za mwenyeji kwa Airbnb.org kwa ajili ya sehemu hizi za kukaa na huwapa wenyeji AirCover kwa kila nafasi inayowekwa.

Una maswali?

Tafadhali wasiliana nasi kupitia contact@airbnb.org