Moto katika Fleti ya Squirrel Hill
Airbnb.org inatoa makazi ya dharura bila malipo kwa watu ambao wamehamishwa na moto wa fleti huko Squirrel Hill, Pittsburgh, PA.
Airbnb.org inashirikiana na PA 211 na United Way of Southwestern Pennsylvania, ambao wanawatambua wale wanaohitaji makazi ya dharura na kuwaunganisha na sehemu ya kukaa ya bila malipo.Jinsi ya kusaidia
kujisajili ili kutoa sehemu za kukaa zenye punguzo kwa wakazi walioathiriwa. Airbnb husamehe ada zote za huduma kwa ajili ya wenyeji na wageni wa Airbnb.org. Wenyeji wanaojisajili kushiriki nyumba zao kupitia Airbnb.org wanapokea bima ya ulinzi dhidi ya uharibifu na dhima na AirCover kwa kila nafasi inayowekwa.
Ikiwa ungependa kusaidia kutoa sehemu za kukaa bila malipo kwa watu walioathiriwa na moto wa fleti ya Squirrel Hill, unaweza kutoa mchango kwenye Airbnb.org. Asilimia 100 ya michango huenda moja kwa moja kwenye makazi ya dharura. Ikiwa wewe ni mwenyeji wa Airbnb, unaweza