Mafuriko jijini Nairobi
Airbnb.org inashirikiana na Entrepreneur Empowerment and Advocacy ili kutoa makazi ya dharura bila malipo kwa watu ambao wamehamishwa na mafuriko ya hivi karibuni jijini Nairobi, Kenya.
Jinsi ya kusaidia
Ikiwa ungependa kusaidia kutoa sehemu za kukaa bila malipo kwa watu walioathiriwa na mafuriko, unaweza kutoa mchango kwenye Airbnb.org. Asilimia 100 ya michango huenda moja kwa moja kwenye makazi ya dharura. Ikiwa wewe ni mwenyeji wa Airbnb, unaweza kujisajili ili kutoa ukaaji wenye punguzo kwa wakazi walioathiriwa. Airbnb hutoa ada zake za huduma za mwenyeji kwa Airbnb.org kwa ajili ya sehemu hizi za kukaa na huwapa wenyeji AirCover kwa kila nafasi inayowekwa.
Una maswali?
Tafadhali wasiliana nasi kupitia contact@airbnb.org