Dhoruba huko Kona, Hawaii
Airbnb.org is partnering with Aloha United Way, All Hands and Hearts and Catholic Charities Hawai‘i to provide free, emergency housing for people who have been displaced by the Kona storms in Hawaii.
Jinsi ya kusaidia
Ikiwa ungependa kusaidia kutoa sehemu za kukaa bila malipo kwa watu walioathiriwa na dhoruba za Kona, unaweza kutoa mchango kwenye Airbnb.org. Asilimia 100 ya michango huenda moja kwa moja kwenye makazi ya dharura. Ikiwa wewe ni mwenyeji wa Airbnb, unaweza kujisajili ili kutoa ukaaji wenye punguzo kwa wakazi walioathiriwa. Airbnb hutoa ada zake za huduma za mwenyeji kwa Airbnb.org kwa ajili ya sehemu hizi za kukaa na huwapa wenyeji AirCover kwa kila nafasi inayowekwa.
Una maswali?
Tafadhali wasiliana nasi kupitia contact@airbnb.org