Mipango yetu
Airbnb.org huwahudumia watu walio katika shida ambao wanahitaji makazi ya muda mfupi kupitia mipango kadhaa.

Sehemu za kukaa za mwitikio wa dharura
Kwa kushirikiana na mashirika na serikali za eneo husika, Airbnb.org hutoa sehemu za kukaa za muda mfupi bila malipo kwa watu waliohamishwa na maafa kama vile mafuriko, mioto ya mwituni, tufani au dharura nyingine ikiwemo mioto ya kwenye makazi.
Angalia miitikio amilifu
Jinsi sehemu za kukaa za mwitikio wa dharura zinavyofanya kazi
1 kati ya kurasa 1
Sehemu za kukaa kwa ajili ya matibabu
Airbnb.org hutoa sehemu za kukaa za dharura bila malipo kwa watu wanaosafiri mbali na nyumbani ili kutafuta huduma. Mpango huu pia unawasaidia watoa huduma wanaosafiri ili kutoa huduma.

Sehemu za kukaa za makazi mapya
Kwa kushirikiana na washirika waaminifu ambao ni mashirika yasiyotengeneza faida, Airbnb.org huwapa makazi ya muda mfupi bila malipo watu binafsi na familia ambazo zimehamishwa kwa lazima kutoka nyumbani kwao.

Washirika wetu
Airbnb.org inashirikiana na mashirika mengine yasiyotengeneza faida, mashirika yasiyo ya kiserikali na serikali ili kutoa makazi ya dharura bila malipo katika jumuiya za eneo husika ulimwenguni kote.
Pata maelezo zaidi
Vinjari matokeo yetu
Soma kuhusu jinsi Airbnb.org na washirika walivyofanya kazi pamoja ili kutoa makazi ya dharura.
Vinjari matokeo yetu
Soma kuhusu jinsi Airbnb.org na washirika walivyofanya kazi pamoja ili kutoa makazi ya dharura.
1 kati ya kurasa 1
Kutana na wanufaika wa Airbnb.org
Sikia kutoka kwa watu ambao walipata makazi ya dharura bila malipo walipoyahitaji zaidi.
Angalia masimulizi yote1 kati ya kurasa 1










