Tetemeko la Ardhi nchini Kolombia

Agosti 2026

Tarehe 10 Agosti, tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 7.4 lilikumba mkoa wa Chocó nchini Kolombia. Tetemeko hilo la ardhi lilihisiwa katika eneo kubwa sana, linaloenea kwa mamia ya maili kote magharibi mwa Kolombia.Airbnb.org inashirikiana na Project Hope, Cenaced, All Hands and Hearts na Fundación Save the Children (Uhispania) ili kutoa makazi ya dharura bila malipo kwa wafanyakazi wa misaada.

Jinsi ya kusaidia

Ikiwa ungependa kusaidia kutoa sehemu za kukaa bila malipo kwa watu walioathiriwa na tetemeko la ardhi, unaweza kutoa mchango kwenye Airbnb.org. Asilimia 100 ya michango huenda moja kwa moja kwenye makazi ya dharura. Ikiwa wewe ni mwenyeji wa Airbnb, unaweza kujisajili ili kutoa ukaaji wenye punguzo kwa wakazi walioathiriwa. Airbnb hutoa ada zake za huduma za mwenyeji kwa Airbnb.org kwa ajili ya sehemu hizi za kukaa na huwapa wenyeji AirCover kwa kila nafasi inayowekwa.

Una maswali?

Wasiliana na timu ya huduma kwa wateja ya Airbnb.org. Wanaweza kujibu maswali na kutoa usaidizi kwa wageni na wenyeji.

Una maswali?

Wasiliana na timu ya huduma kwa wateja ya Airbnb.org. Wanaweza kujibu maswali na kutoa usaidizi kwa wageni na wenyeji.